Mafunzo

FARM STEW Uganda

Miradi yetu

Ili kufanikisha mabadiliko,tunaendelea kufanya kazi katika miradi ifuatayo.

Maji
Irene ni mmoja wapo wa watu  663,000,000 ambao hawana uwezo wa kupata maji safi. Pampu ya maji kijijini mwao ilivunjika miaka iliyopita, pamoja na asilimia  thelathini (30%) ya pampu zote barani Afrika. Sasa FARM STEW inatoa chanzo cha matumaini kwa hali ya maji ili kuzima kiu yao ya kimwili na kiroho ($15 kwa kila mtu).
Mabomba ya mifereji
Teknolojia rahisi kama vile bomba la mfereji, linaloweza kutoa maji yanayo tiririka, pamoja na sabuni au majivu, linaweza kusafisha mikono bila uharibifu mwingi. FARM STEW inahimiza mabomba ya mifereji kwenye nyumba zote!
Visodo vya kufulika kwa Wasichana
Ulimwenguni kote wanawake na wasichana wengi hawana uwezo wa kupata visodo i, vyoo safi binafsi, au njia safi za kujikimu wakati wa hedhi. Tunaleta  heshima kwa wasichana kwa kuwafundisha na kuwaandaa kwa kuwapa vifaa wanavyo hitaji.
Mashamba madogo ya familia
Ili kuwezesha familia za mashambani kuwa na kujitegemea na kutoa fursa kwa biashara, tunasambaza mbegu za kuanzia na vifaa vinavyohitajika kuanzisha ukulima wa mashamba madogo. Wanafanya mengine yaliyo salia kwa msaada wa wakufunzi wetu wa FARM STEW!
Mafunzo
Wakufunzi wetu wa FARM STEW wanasisitiza kanuni za kila mojawapo ya viungo vyetu vinane katika madarasa tunayoyafunza. Shughuli za kiutendaji hufanya masomo  kuchangamsha na kuwasaidia washiriki kustawi!
Kuwezesha Jamii

Madarasa ya Mwingiliano

Our classes bring the FARM STEW recipe for abundant life to more communities every day.  With your help, we can reach villages, schools, prisons, community groups, mosques and churches.

Our goal is to equip them with the skills to combat hunger, disease and poverty. Our teams have trained over 160,000 people since 2015!

Testimonies of improved health and livelihood abound.

Kuwawezesha wasichana wadogo

Visodo vya kufulika kwa Wasichana

Viungo Vinavyofundishwa

Around the world, many women and girls do not have access to sanitary napkins, clean private toilets, or hygienic ways to take care of their periods. We are bringing dignity to girls by training and equipping them with the tools they need.
Your gifts make it possible!

Our goal for 2021 is to reach 5,000 girls with pads, panties and soap that will last for at least one year!  For just $15 per girl you can change their lives forever!

To raise funds for this cause, click here!

Kuhimiza maisha yenye afya

Mashamba madogo ya familia

Viungo Vinavyofundishwa

 Kuwezesha familia za vijijini kuwa za kujitegemea na kutoa fursa kwa ajili ya biashara, tunatoa mbegu za kuanzia, miche  na mafunzo yanayohitajika kuanza  mashamba madogo.

Kwa kuzingatia mazao yenye virutubishi, ambayo yanaweza kukua mwaka mzima, unaweza kusaidia familia kustawi kwa kutoa leo!
Kwa dola kumi na tano tu  ($15) unaweza kufundisha na kuandaa familia na  kubadilisha maisha  ya mashamba madogo!
Unaweza
Anza moja sasa !