Ilichapishwa
Aprili 16, 2019

Uliokoa maisha! Kutana na mtoto Joy!

Joy Kauffman, MPH

 Uliokoa maisha! Kutana na mtoto Joy, mtoto wa kwanza aliyewahi kuitwa jina la muanzilishi wa FARM STEW, Joy Kauffman!

 Teresa,  mama yake,(jina limebanwa) ni kiziwi na alibakwa. Yeye anaishi katika nyumba ya matope hapa chini. Alikuwa na uchungu wa kujifungua  kwa siku tatu na alikuwa katika hali ya kulemewa. Betty (akiwa amepigwa picha nami) mkufunzi wa FARM STEW, alikuwa akipata habari zote na hatimaye  alinieleza. Kwa msaada wako, nilikuwa na uwezo wa kutuma $100 kuokoa Angela na maisha ya mtoto Joy! (Hospitali nchini Uganda haingefanya kazi bila kulipwa fedha kwanza.)

Tumekuwa tukifanya kazi ya kufikia jamii ya viziwi katika kijiji hiki cha mashambani na ujumbe wa FARM STEW!

Angela siku chache baada ya kuzaliwa kwa mtoto Joy, pamoja na Joy Kauffman.

Betty Musiro, Mkurugenzi wa Taifa wa FARM STEW Uganda na Joy Kauffman, mwanzilishi na Rais wa FARM STEW ya kimataifa na mtoto Joy. Akifurahia maisha tele ... mwenye umri wa siku 3

Betty Musiro, Naibu Mkurugenzi wa nchi kwa FARM STEW ya Uganda, pamoja na Joy Kauffman, mwanzilishi na Rais wa FARM STEW ya kimataifa na Mtoto Joy.

Hawa ni wanawake wazuri ambao wamemchukua Teresa na mtoto Joy ili wamtunze nyumbani kwao.

Wanawake wa ajabu ambao walichukua Angela na mtoto Joy!

Kama hii itakusumbua, samahani, lakini hii ni picha nzuri ambayo naweza kuifikiria. Mtoto Joy kupata hasa kile anachohitaji kutoka kwa mama ambaye anampenda ya kutosha kiasi cha kufuata  mpango wa Mungu kwa ajili ya kulisha watoto wachanga!  Mungu atukuzwe kwa ajili ya Teresa!

Mtoto Joy akipendwa kwa njia nzuri mno na mama yake!

Mungu awabariki ninyi nyote kwa ajili ya kuleta mabadiliko katika maisha ya baadhi ya watu walio katika mazingira hatari duniani!

Shiriki
Shiriki
Iliyotumwa na 
Joy Kauffman, MPH
Joy ni mwanzilishi mwenye shauku wa FARM STEW.
Kisa cha Naki
Uganda, Afrika
Manukuu
"Nina umri wa miaka kumi na minne (14) na nilianza hedhi mwaka huu. Siku yangu ya kwanza nilihisi aibu na nikakosa kwenda shule ... Si rahisi kupata visodo katika kijiji changu na vichache vilivyoko ni bei ghali. Visodo hivi vipya vitaweza kunisaidia nikiwa katika hedhi. Kwasababu vinaweza kutumika tena, sitakuwa na wasiwasi tena nitakapopata hedhi!"
Visodo

Uhuru kutokana na aibu

Kila siku maelfu ya wasichana wa Kiafrika huacha shule. KWA NINI?  Kwa sababu ya hedhi . Unaweza kuwasaidia wasichana hawa kuendelea na masomo yao  shuleni kwa  kuwapa visodo vinavyoosheka, chupi na kuwapa ujasiri kwa  dola kumi na tano ($15 ) kwa kila msichana  
Lengo letu ni   kuwafikia wasichana  5000 katika mwaka wa 2020!

Irene
Uganda, Afrika
Manukuu
Maisha ya Irene yatabadilishwa wakati zawadi zako zitakapoleta maji safi kwa jamii yake
Ishara ya maelezo
Kila dola  mbili ($2 )zinazopewa FARM STEW zitazidishwa kwa dola moja ($1) na Water4, hadi  dola elfu themanini na nne ($84,000).
Maji

Uhuru kutokana na Ugonjwa na kazi ngumu

Watu elfu 300 hufa kila siku kutokana na magonjwa yanayosababishwa na maji machafu. Zawadi yako inaweza kutoa maji safi kwa dola kumi na tano ($15) kwa kila mtu.  Maji salama sio tu huimarisha afya; bali hutoa fursa kwa ajili ya FARM STEW, kwa ushirikiano na makanisa ya mtaa  kutosheleza kiu ya kiroho ya wale walio na mahitaji.