Ilichapishwa
Septemba 17, 2017

Kwa nini familia ni suluhisho la utapiamlo!

Joy Kauffman, MPH

Lishe, usafi wa mazingira na utunzaji ni muhimu katika siku 1,000 za kwanza za maisha. Watoto hawa wadogo kwa ujumla wako pamoja na mama zao!

Nilikutana na huyu kijana mdogo katika mafunzo ya FARM STEW nchini Uganda.

Tumbo lake linaonyesha kuwa na uwezekano wa kuwa minyoo na ana lishe duni. 
Lakini mama yake yuko hapa pia akijifunza kuhusu anachotakiwa kufanya ili kuwalisha! 

                                                                                  Kijiji hiki kimeacha kufanya kila kitu ili kuhudhuria mafunzo ya FARM STEW! 

Familia yote inajifunza kiutendaji kutengeneza maziwa ya soya yenye protini ya juu zaidi.

Vyakula vya soya vyenye  virutubishi vingi na usafi sahihi vinaweza kuleta tofauti kubwa. Maharagwe yanaweza kutoa asilimia kubwa ya protini inayotosha kukidhi mahitaji ya binadamu. Shirika la Moyo la Marekani latangaza "protini ya soya imeonyeshwa kuwa sawa na protini ya asili ya wanyama. Ukichagua inaweza kuwa chanzo chako cha protini ya pekee.

Na watoto wanaipenda!

       Elimu rahisi inayopatikana ambayo inaweza kuokoa maisha inayofunzwa na kujifunza kiutendaji na wenyeji! Hivyo ndivyo FARM STEW inavyohusika!

Hiyo ndiyo sababu ninaweza kutabasamu kwa wafanyakazi hawa wote! na

Shiriki
Shiriki
Iliyotumwa na 
Joy Kauffman, MPH
Joy ni mwanzilishi mwenye shauku wa FARM STEW.
Kisa cha Naki
Uganda, Afrika
Manukuu
"Nina umri wa miaka kumi na minne (14) na nilianza hedhi mwaka huu. Siku yangu ya kwanza nilihisi aibu na nikakosa kwenda shule ... Si rahisi kupata visodo katika kijiji changu na vichache vilivyoko ni bei ghali. Visodo hivi vipya vitaweza kunisaidia nikiwa katika hedhi. Kwasababu vinaweza kutumika tena, sitakuwa na wasiwasi tena nitakapopata hedhi!"
Visodo

Uhuru kutokana na aibu

Kila siku maelfu ya wasichana wa Kiafrika huacha shule. KWA NINI?  Kwa sababu ya hedhi . Unaweza kuwasaidia wasichana hawa kuendelea na masomo yao  shuleni kwa  kuwapa visodo vinavyoosheka, chupi na kuwapa ujasiri kwa  dola kumi na tano ($15 ) kwa kila msichana  
Lengo letu ni   kuwafikia wasichana  5000 katika mwaka wa 2020!

Irene
Uganda, Afrika
Manukuu
Maisha ya Irene yatabadilishwa wakati zawadi zako zitakapoleta maji safi kwa jamii yake
Ishara ya maelezo
Kila dola  mbili ($2 )zinazopewa FARM STEW zitazidishwa kwa dola moja ($1) na Water4, hadi  dola elfu themanini na nne ($84,000).
Maji

Uhuru kutokana na Ugonjwa na kazi ngumu

Watu elfu 300 hufa kila siku kutokana na magonjwa yanayosababishwa na maji machafu. Zawadi yako inaweza kutoa maji safi kwa dola kumi na tano ($15) kwa kila mtu.  Maji salama sio tu huimarisha afya; bali hutoa fursa kwa ajili ya FARM STEW, kwa ushirikiano na makanisa ya mtaa  kutosheleza kiu ya kiroho ya wale walio na mahitaji.