Tulipiga maji!!!
Tumefurahi sana kwamba maji yamepatikan sehemu ya Magogo nchini Uganda ambapo uchimbaji visima unaanza!
Huu ni mradi wa kwanza kati ya miradi 50 ambayo tunanuia kufanya katika Afrika Mashariki katika mwaka wa 2020. Tunamshukuru Mungu kwamba baada ya mwaka wa kuomba na kupanga, maji safi hatimaye yamekuja katika eneo hili!