Ilichapishwa
1 Septemba, 2017

Athari za ujumlishaji. FARM STEW inafunza wakufunzi!

Joy Kauffman, MPH

Nchini Uganda, neno la athari ya FARM STEW  laeneza! Mashirika mengi yanataka kuingiza kanuni za FARM STEW katika uhamasishaji wao.  Wiki iliyopita tu, tulielimisha wakufunzi kutoka nchi 5 za Afrika na Marekani.  Ajabu sana kwa Shirika letu hili dogo!  Jumla ya bajeti yetu kwa mwaka wetu wa kwanza kama 501c3 ilikuwa ni $40,000 tu kuajiri jumla ya watu 7 na kufundisha zaidi ya watu 11,000! Hii ndio idadi yetu ya jumla  kwa sababu tulianza kazi kabla ya kuwa shirika lisilo la faida na sasa ni zaidi  ya watu 17,000!

FARM STEW Uganda inatafuta kuzidisha athari zetu kwa wakufunzi wa mafunzo. Hapa Edward Kaweesa, Rais wa FARM STEW Uganda anaongoza katika mafunzo nchini Kenya!  Washiriki wengine wa timu walikuwa wanaongoza mafunzo ya USAID kwenye mashamba madogo!

Kutoka mwanzo, FARM STEW imejengwa juu ya wazo la kufundisha wakufunzi. Inanikumbusha kuhusu ukweli huu mkuu:

"Katikakila kanisa kuna talanta, ambayo, kwa aina sahihi ya kazi, inaweza kuendelezwa ili kuwa msaada mkubwa katika kazi hii... wafanyakazi wenye hekima kutambua na kukuza vipaji kanisani-talanta ambayo inaweza kuelimishwa kwa ajili ya matumizi ya Bwana. {EGW 9T 117.2}

Shiriki
Shiriki
Iliyotumwa na 
Joy Kauffman, MPH
Joy ni mwanzilishi mwenye shauku wa FARM STEW.
Kisa cha Naki
Uganda, Afrika
Manukuu
"Nina umri wa miaka kumi na minne (14) na nilianza hedhi mwaka huu. Siku yangu ya kwanza nilihisi aibu na nikakosa kwenda shule ... Si rahisi kupata visodo katika kijiji changu na vichache vilivyoko ni bei ghali. Visodo hivi vipya vitaweza kunisaidia nikiwa katika hedhi. Kwasababu vinaweza kutumika tena, sitakuwa na wasiwasi tena nitakapopata hedhi!"
Visodo

Uhuru kutokana na aibu

Kila siku maelfu ya wasichana wa Kiafrika huacha shule. KWA NINI?  Kwa sababu ya hedhi . Unaweza kuwasaidia wasichana hawa kuendelea na masomo yao  shuleni kwa  kuwapa visodo vinavyoosheka, chupi na kuwapa ujasiri kwa  dola kumi na tano ($15 ) kwa kila msichana  
Lengo letu ni   kuwafikia wasichana  5000 katika mwaka wa 2020!

Irene
Uganda, Afrika
Manukuu
Maisha ya Irene yatabadilishwa wakati zawadi zako zitakapoleta maji safi kwa jamii yake
Ishara ya maelezo
Kila dola  mbili ($2 )zinazopewa FARM STEW zitazidishwa kwa dola moja ($1) na Water4, hadi  dola elfu themanini na nne ($84,000).
Maji

Uhuru kutokana na Ugonjwa na kazi ngumu

Watu elfu 300 hufa kila siku kutokana na magonjwa yanayosababishwa na maji machafu. Zawadi yako inaweza kutoa maji safi kwa dola kumi na tano ($15) kwa kila mtu.  Maji salama sio tu huimarisha afya; bali hutoa fursa kwa ajili ya FARM STEW, kwa ushirikiano na makanisa ya mtaa  kutosheleza kiu ya kiroho ya wale walio na mahitaji.