FARM STEW ilionyeshwa kwenye runinga ya Hope TV!
Tafadhali bonyeza hapa, Mission For Life, kuona mahojiano ya dakika ya 30 na Mzee Ted Wilson, Sam Neves,na Joy Kauffman!
Mungu ni mwema sana! Alitayarisha mwanzilishi wa FARMSTEW , Joy, kwa kazi ya kuleta ujumbe wa kiafya kwa kanisa la kimataifa tangu akiwa msichana mdogo. Sasa, pamoja na washiriki zaidi ya milioni 9 wa Kanisa la Waadventista wa Sabato kusini mwa Jangwa la Sahara, ujumbe huo unaweza kupitia kwao kwa mamilioni ambao wanahitaji kichocheo cha maisha tele!
Barikiwa kwa kutazama!
