Ilichapishwa
20 Julai, 2017

Tumaini kwenye udongo:Maono ya zaidi ya  miaka  100 na zaidi yanakuja kuzaa matunda.

Joy Kauffman, MPH

Nikiwa nimerudi kutoka Uganda majuma machache yaliyopita, nina picha mpya katika akili yangu ya wanawake ambao walikuwa na hamu ya kuonyesha bustani za mboga kwa timu yetu ya FARM STEW. Wengi walikuwa na mboga nyingi kiasi walizokuwa wakiweka akiba ya mbegu yao. Mzunguko mzuri wa maisha unahamasisha. 

Zaidi ya miaka 100 iliyopita, mwanamke aitwaye Ellen White alitoa ushauri wa utendaji kuhusu  kusaidia maskini. Bado inazingatiwa hadi leo kupitia wanachama wa timu ya FARMSTEW ya Uganda. ''Tulifanya tulivyoweza ili kuendeleza nchi yetu na kuwahamasisha majirani wetu kulima udongo ili waweze kuwa na matunda na mboga zao wenyewe. Tuliwafunza jinsi ya kutayarisha udongo na jinsi ya kutunza udongo, kile cha kupanda na jinsi ya kutunza mazao yanayokua. Hivi karibuni walijifunza manufaa ya kujitafutia wenyewe. " (Welfare Ministryi uk. 328) 

 Ilinikumbusha maneno haya. "Kuna matumaini katika udongo, lakini ubongo na moyo na nguvu lazima ziletwe katika kazi ya kuzilima." (Ushuhuda Maalimu Juu ya Elimu p.100) Hivyo ndivyo inavyotokea! Mungu asifiwe!

Shiriki
Shiriki
Iliyotumwa na 
Joy Kauffman, MPH
Joy ni mwanzilishi mwenye shauku wa FARM STEW.
Kisa cha Naki
Uganda, Afrika
Manukuu
"Nina umri wa miaka kumi na minne (14) na nilianza hedhi mwaka huu. Siku yangu ya kwanza nilihisi aibu na nikakosa kwenda shule ... Si rahisi kupata visodo katika kijiji changu na vichache vilivyoko ni bei ghali. Visodo hivi vipya vitaweza kunisaidia nikiwa katika hedhi. Kwasababu vinaweza kutumika tena, sitakuwa na wasiwasi tena nitakapopata hedhi!"
Visodo

Uhuru kutokana na aibu

Kila siku maelfu ya wasichana wa Kiafrika huacha shule. KWA NINI?  Kwa sababu ya hedhi . Unaweza kuwasaidia wasichana hawa kuendelea na masomo yao  shuleni kwa  kuwapa visodo vinavyoosheka, chupi na kuwapa ujasiri kwa  dola kumi na tano ($15 ) kwa kila msichana  
Lengo letu ni   kuwafikia wasichana  5000 katika mwaka wa 2020!

Irene
Uganda, Afrika
Manukuu
Maisha ya Irene yatabadilishwa wakati zawadi zako zitakapoleta maji safi kwa jamii yake
Ishara ya maelezo
Kila dola  mbili ($2 )zinazopewa FARM STEW zitazidishwa kwa dola moja ($1) na Water4, hadi  dola elfu themanini na nne ($84,000).
Maji

Uhuru kutokana na Ugonjwa na kazi ngumu

Watu elfu 300 hufa kila siku kutokana na magonjwa yanayosababishwa na maji machafu. Zawadi yako inaweza kutoa maji safi kwa dola kumi na tano ($15) kwa kila mtu.  Maji salama sio tu huimarisha afya; bali hutoa fursa kwa ajili ya FARM STEW, kwa ushirikiano na makanisa ya mtaa  kutosheleza kiu ya kiroho ya wale walio na mahitaji.