Uhuru kutokana na aibu Ujumbe wa shukrani.
Shule zinapofunguliwa tena na kurejelea elimu, hitaji la usafi wa hedhi la wasichana litakuwa kubwa zaidi.
Wasichana wengi hushikwa na aibu wanapoanza kupata hedhi hata kusitisha elimu yao .

FARMSTEW huleta heshima kwa wasichana wa Kiafrika kwa kuwapa mafunzo na kuwaandaa kwa kuwapa visodo vya nguo vinavyoweza kutumika tena, chupi, elimu ya afya ya Kibiblia na mfuko wa nguo
(uliotengenezwa na Biashara ya Kushona ya viziwi wa FARM STEW).
Ndicho tunachokiita Uhuru kutokana na Aibu!
Lengo letu la mwaka huu ni kuwasaidia wasichana 5,000.
Kwa dola kumi na tano ($15) unaweza kubadilisha maisha yao milele kwa kuwapa Uhuru kutokana Aibu!
Bonyeza hapa ujifunze zaidi, kuchangia au kuwa mchangizaji fedha!