Ilichapishwa
Januari 7, 2017

Kutafuta Tumaini: Habari Zisizo Maana au Maneno Yasio na Maana 

Joy Kauffman, MPH

Tamaduni ni tofauti na nyakati hubadiliko

Tamaduni ni tofauti na nyakati  hubadilika lakini wanadamu daima wamekuwa na tabia na taia hizo ndizo zinazotoa muelekeo wa tulivyo kibinafsi na kama jamii. Katika mfululizo huu wa safari ya uvumbuzi, inayoonekana katika Kitabu cha Matendo ya Mitume kulikuwa na tamaduni mbili ambazo Paulo alikutana nazo; Waathene na Waberea. Tamaduni hizi mbili zilitumia kitu kila siku.  Waathene walikuwa na uraibu wa habari duni na Waberea walikuwa na uraibu wa neno la Mungu na hili ndio lililoleta tofauti yote. Tunakutana na Waathene katika Matendo 17:16-21

Paulo alipokuwa akiwangojea huko Athene na kuona jinsi mji ule ulivyojaa sanamu, roho  yake ilichukizwa sana. Basi katika sinagogi akahojiana na Wayahudi na waliomcha Mungu na wale waliokutana naye sokoni kila siku. Na baadhi ya Waepikureo na Wastoiko, wenye ujuzi, wakakutana naye. Wengine wakasema, Mpuzi huyu anataka kusema nini?Wengine walisema anaonekana kuwa mtangaza habari za miungu migeni, kwa maana alikuwa akihubiri habari za  Yesu na ufufuo. Wakamshika, wakamchukua Areopago, wakisema, "Je! Twaweza kujua maana ya elimu hii mpya unayoinena? Kwa maana unaleta mambo mageni masikioni mwetu, tutapenda kujua basi maana ya mambo haya". Kwa maana Waathene na wageni waliokaa huko walikuwa hawana nafasi kwa neno lo lote ila kutoa habari na kusikiliza habari za jambo jipya. Matendo 17:16-21

Leo ninaweza kufikiria, kutumia kituo ,kutuma blogi na kujadili kimoto moto  kutoa maoni yao kuhusu michezo ya kuigiza ya hivi karibuni. Tunapata Waberea katika Matendo ya Mitume 17:10-11:

Kisha mara moja ndugu waliwatuma Paulo na Sila Berea kwenda Berea ule ule mbali na usiku. Walipowasili, waliingia kwenye sinagogi la Wayahudi.  Hawa walikuwa na mawazo bora zaidi kuliko wale walioko Thesalonike kwa kuwa walipokea neno kwa utayari wote na kupekua maandiko kila siku ili kujua kama vitu hivi vilikuwa hivyo.

Pengine Waberea walikuwa na Biblia zilizoonekana kama za wanawake hawa nchini Uganda walipokuwa wakisoma wakati wa mafunzo ya FARM STEW.

Kwa hivyo ilikuwa ni nini matokeo ya tabia zao?

Ikiongea kuhusu Waathene inasema: 

Basi waliposikia habari za ufunuo wa wafu wengine walifanya dhihaka; wengine wakasema, "Tutakusikiliza tena katika habari hizo. Basi hivi  Paulo aliondoka akawaacha. Baadhi ya watu wakashikamana naye, wakaamini; katika hao alikuwamo Dionisio, Mwareopaga, na mwanamke mmoja jina lake Damari na watu wengine pamoja nao. " (Matendo 17:32-34)

Waathene walidhihaki au kukwepa maswali ambayo Paulo aliwaulizwa. Walioamini  walikuwa wachache, aliwaita watu watatu pekee. Je, Paulo alifanya nini na umati huu ambao haukuwa na shukrani? Aliondoka miongoni mwao.

Kwa upande mwengine, Waberea walikuwa na uamsho wa mvuto ambao ulivuka mipaka ya utamaduni na jinsia: 

 Basi watu wengi miongoni mwao wakaamini, na sio wengi wa wanawake wa Kiyunani wenye cheo pamoja na wanaume wachache kati yao (Matendo 17:12)

Tamaduni hizi mbili, hasa tabia zao za kila siku, ilitoa muelekeo wa watu hawa. Itatupa muelekeo pia sisi. Tunakula kila siku? Je, tuko tayari kuona mahali ambapo Mungu anafanya kazi, ambapo maisha mapya na matumaini mapya yanapochipukia?  Je, ni nini kinachovuta nadhari yetu?  Na matokeo nini, katika maisha yetu na wale walio karibu nasi yatakuwaje? 

Kijanahuyu mdogo, akipulizia moto, hivi karibuni atakula soya ya kijani kibichi (Edamame) kwa mara ya kwanza. Mafunzo ya FARM STEW  huongoza katika ugunduzi wa chanzo bora cha virutubisho katika vyakula ambayo tayari vinakuzwa nchini.

Neno la Mungu huelekeza maisha yetu

Inaonekana kwamba tutakosa mambo mapya na makubwa kwa kutumia muda kila siku katika kitabu chenye umri wa miaka 2,000, Biblia. Lakini ufahamu wa neno la Mungu na kuruhusu kuongoza maisha yetu itakuwa kitu ambacho kitaturuhusu  kupata mwamko wa Roho Mtakatifu wakati tunaposikia mnong'ono wa sauti ndogo tulivu ya matumaini.  Inaweza kuwa pumzi ya Roho ambayo inaonyesha moto katika mioyo yetu ambao utabadili dunia! 

Shiriki
Shiriki
Iliyotumwa na 
Joy Kauffman, MPH
Joy ni mwanzilishi mwenye shauku wa FARM STEW.
Kisa cha Naki
Uganda, Afrika
Manukuu
"Nina umri wa miaka kumi na minne (14) na nilianza hedhi mwaka huu. Siku yangu ya kwanza nilihisi aibu na nikakosa kwenda shule ... Si rahisi kupata visodo katika kijiji changu na vichache vilivyoko ni bei ghali. Visodo hivi vipya vitaweza kunisaidia nikiwa katika hedhi. Kwasababu vinaweza kutumika tena, sitakuwa na wasiwasi tena nitakapopata hedhi!"
Visodo

Uhuru kutokana na aibu

Kila siku maelfu ya wasichana wa Kiafrika huacha shule. KWA NINI?  Kwa sababu ya hedhi . Unaweza kuwasaidia wasichana hawa kuendelea na masomo yao  shuleni kwa  kuwapa visodo vinavyoosheka, chupi na kuwapa ujasiri kwa  dola kumi na tano ($15 ) kwa kila msichana  
Lengo letu ni   kuwafikia wasichana  5000 katika mwaka wa 2020!

Irene
Uganda, Afrika
Manukuu
Maisha ya Irene yatabadilishwa wakati zawadi zako zitakapoleta maji safi kwa jamii yake
Ishara ya maelezo
Kila dola  mbili ($2 )zinazopewa FARM STEW zitazidishwa kwa dola moja ($1) na Water4, hadi  dola elfu themanini na nne ($84,000).
Maji

Uhuru kutokana na Ugonjwa na kazi ngumu

Watu elfu 300 hufa kila siku kutokana na magonjwa yanayosababishwa na maji machafu. Zawadi yako inaweza kutoa maji safi kwa dola kumi na tano ($15) kwa kila mtu.  Maji salama sio tu huimarisha afya; bali hutoa fursa kwa ajili ya FARM STEW, kwa ushirikiano na makanisa ya mtaa  kutosheleza kiu ya kiroho ya wale walio na mahitaji.