Ilichapishwa
Februari 27, 2020

FARM STEW iliangaziwa katika maonyesho ya kipindi cha maonyesho cha 3ABN Today.

Joy Kauffman, MPH

Mnamo Februari 22, 2020 tulikuwa na fursa tofauti ya kuwa na nafasi saba katika runinga ya 3ABN zilizowekwa wakfu kwa FARM STEW!!! Katika mahojiano haya na Jason Bradley, Cherri Olin, Dkt. Frederick Nyanzi na mimi tulielezea kuhusu athari zinazokua za FARM STEW ya kmataifa.

Ilikuwa ni siku ngumu nilipoamka kwenda kwenye filamu ya mahojiano haya mwezi Januari - asubuhi hiyo nilipokea habari za kusikitisha sana kwamba mmoja wa mtoto wetu wa kujitolea nchini Uganda alikuwa ameuawa usiku wa kuamkia leo. Moyo wangu ulikuwa na huzuni kwa ajili ya familia na maombi yangu yalikuwa kwa ajili ya usalama wa wakufunzi wetu. Pia kulikuwa na mambo mengine yaliyonilemea siku hiyo: muda uliopangwa ambao nilihitaji kutimiza na sintofahamu  iliyokuwa hewani.

Lakini Mungu alikuwa na mpango (si yeye daima hufanya?!). Kabla tu ya filamu nilikuwa na  amani kamili juuyangu na nilikuwa nimeburudika sana na kuwa na nguvu kujua kwamba  (tuliweza kushiriki tenakwenye 3ABN Januari iliyopita ) pia wengi wangesikia kuhusu huduma hii! Alijua kwamba ningehitaji kuinuliwa siku hiyo - njia ya kuangalia zaidi ya maumivu ya sasa kwa mustakabali wa jinsi atakavyoshughulikia kila kitu. Ilikuwa ni kisa cha injili katika kipindi kimoja cha saa 12!

Nimenyenyekea na nina shukrani za dhati kwako - wale wanaosaidia kuunga mkono shirika hili na huduma! Cherri, rafiki yangu nimpendaye ambaye sasa ana ofisi ya FARM STEW nyumbani kwake na Dkt. Fred ambaye anahudumu kwenye Bodi yetu ya Wakurugenzi ni mifano miwili bora. Nyinyi mnaotoa misaada ya kifedha  mnafanya kazi hii yote iwezekane! Asanteni!!

Sitaki pia ukose  kujua ni wapi unaweza kupata kozi yetu ya bure ya mtandao  - bonyeza kiungo hiki kwenda papo hapo kwenye ukurasa wa wavuti! Tunashiriki kozi hii bure ili mtu yeyote aweze kujifunza kichocheo cha ya maisha tele ambayo yamebadilisha maisha ya maelfu! Tafadhali, kama siku zote, jisikie huru kushiriki habari na wengine na kutusaidia "kushiriki kichocheo"! 

---

Asante Bwana kwa jinsi unavyofanya kazi na jinsi unavyoleta watu sahihi / hali / uzoefu kwa wakati sahihi! Muda wako ni mkamilifu! Amina.

Kozi za kujifunza za kimtandao za FARMSTEW
Shiriki
Shiriki
Iliyotumwa na 
Joy Kauffman, MPH
Joy ni mwanzilishi mwenye shauku wa FARM STEW.
Kisa cha Naki
Uganda, Afrika
Manukuu
"Nina umri wa miaka kumi na minne (14) na nilianza hedhi mwaka huu. Siku yangu ya kwanza nilihisi aibu na nikakosa kwenda shule ... Si rahisi kupata visodo katika kijiji changu na vichache vilivyoko ni bei ghali. Visodo hivi vipya vitaweza kunisaidia nikiwa katika hedhi. Kwasababu vinaweza kutumika tena, sitakuwa na wasiwasi tena nitakapopata hedhi!"
Visodo

Uhuru kutokana na aibu

Kila siku maelfu ya wasichana wa Kiafrika huacha shule. KWA NINI?  Kwa sababu ya hedhi . Unaweza kuwasaidia wasichana hawa kuendelea na masomo yao  shuleni kwa  kuwapa visodo vinavyoosheka, chupi na kuwapa ujasiri kwa  dola kumi na tano ($15 ) kwa kila msichana  
Lengo letu ni   kuwafikia wasichana  5000 katika mwaka wa 2020!

Irene
Uganda, Afrika
Manukuu
Maisha ya Irene yatabadilishwa wakati zawadi zako zitakapoleta maji safi kwa jamii yake
Ishara ya maelezo
Kila dola  mbili ($2 )zinazopewa FARM STEW zitazidishwa kwa dola moja ($1) na Water4, hadi  dola elfu themanini na nne ($84,000).
Maji

Uhuru kutokana na Ugonjwa na kazi ngumu

Watu elfu 300 hufa kila siku kutokana na magonjwa yanayosababishwa na maji machafu. Zawadi yako inaweza kutoa maji safi kwa dola kumi na tano ($15) kwa kila mtu.  Maji salama sio tu huimarisha afya; bali hutoa fursa kwa ajili ya FARM STEW, kwa ushirikiano na makanisa ya mtaa  kutosheleza kiu ya kiroho ya wale walio na mahitaji.