Dakika moja - Je, mafanikia ya FAMR STEW ni halisi?
Dakika moja - Video ya kupeana! Ruth alipeana kwa vijiji sita, je, unaweza kupeana kwa watu 6?
Tafadhali elezea kuhusui kiungo hiki: www.farmstew.org/post/1-min-success
Ubarikiwe!!

Kuwapa uwezo wa ujuzi jamii nzima ambao utawasaidia kukabiliana na njaa, magonjwa na umaskini. Kwa dola thelathini na saba tu ( $37), unaweza kufadhili mafunzo ya siku nzima ya kiutendaji ya FARMSTEW.

"Nina umri wa miaka kumi na minne (14) na nilianza hedhi mwaka huu. Siku yangu ya kwanza nilihisi aibu na nikakosa kwenda shule ... Si rahisi kupata visodo katika kijiji changu na vichache vilivyoko ni bei ghali. Visodo hivi vipya vitaweza kunisaidia nikiwa katika hedhi. Kwasababu vinaweza kutumika tena, sitakuwa na wasiwasi tena nitakapopata hedhi!"
Kila siku maelfu ya wasichana wa Kiafrika huacha shule. KWA NINI? Kwa sababu ya hedhi . Unaweza kuwasaidia wasichana hawa kuendelea na masomo yao shuleni kwa kuwapa visodo vinavyoosheka, chupi na kuwapa ujasiri kwa dola kumi na tano ($15 ) kwa kila msichana
Lengo letu ni kuwafikia wasichana 5000 katika mwaka wa 2020!
Maisha ya Irene yatabadilishwa wakati zawadi zako zitakapoleta maji safi kwa jamii yake
Watu elfu 300 hufa kila siku kutokana na magonjwa yanayosababishwa na maji machafu. Zawadi yako inaweza kutoa maji safi kwa dola kumi na tano ($15) kwa kila mtu. Maji salama sio tu huimarisha afya; bali hutoa fursa kwa ajili ya FARM STEW, kwa ushirikiano na makanisa ya mtaa kutosheleza kiu ya kiroho ya wale walio na mahitaji.