FARM STEW Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Jan 22, 2021
Bonyeza
Bonyeza
Bonyeza
Ushirikiano wa chombo kwa Cuba
Wizara zinashirikiana kuongeza misaada kwa Cuba: FARM STEW, Huduma kwa Cuba na Kundi la Vijana wa Ulimwengu wote wanaipenda Cuba! Hapa kuna njia moja tunayosaidia!
Soma zaidi
Machi 23, 2020
Bonyeza
Jiunge na Joy Kauffman kwenye mahojiano mbashara katika kipindi cha asubuhi cha Redio cha Moody, miji ya Quad, kikiongozwa na Ken na Deb! Unawezaje kushiriki na kuwa salama sasa!
Novemba 3, 2019
Bonyeza
Nchini Uganda, vidokezo rahisi vya lishe huleta mabadiliko katika afya inayoonekana, FARM STEW yaleta mabadiliko 
20 Juni, 2019
Bonyeza
Siku ya Wakimbizi Duniani, tulianzisha mpango mpya; 'Kipindi Chako, Sauti Yako ' pamoja na washirika wetu wawili wa ajabu.
Aprili 26, 2019
Bonyeza
Ujambazi  unaleta  magonjwa-kuzuia biashara kwa ajili ya  mtu wa Uganda. Kitu rahisi kama vile mabomba ya mifereji inaleta athari  katika maeneo ya mashambani.
Aprili 18, 2019
Bonyeza
Sukari:Jino letu lote tamu huitamani na uhitaji wa kiulimwengu haujakuwa juu.Unahitaji msukumo kuacha  tabia? Soma kwenye.
Februari 27, 2019
Bonyeza
Mungu aliumba mbegu zilizojawa na nguvu ya  uhai wake tena ni za ajabu. Muumbaji wetu, ambaye anajua miili yetu zaidi, alituambia tuzile. (Mwanzo 1:29).
Februari 19, 2019
Bonyeza
Sikia dakika  8 za  Utangulizi kuhusu  FARM STEW kwenye Redio ya Moody!
Januari 9, 2019
Bonyeza
Jiunge na  Shelley Qiunn kutoka 3ABN na wageni wake, Joy Kauffman, Tamara Schoch na Dkt. Frederick Nyanzi na FARM STEWI!
Desemba 14, 2018
Bonyeza
Sikiliza SEHEMU YA PILI: Joy na Cherri, ambaye alikuwa amesema hatakwenda Afrika kamwe! Moyo wa Cherri sasa umejitolea kabisa kwa kazi ya FARM STEW.
Desemba 14, 2018
Bonyeza
Sikiliza SEHEMU YA KWANZA: Joy na Cherri, ambaye alikuwa amesema hatakwenda Afrika kamwe! Moyo wa Cherri sasa umejitolea kabisa kwa kazi ya FARM STEW.
Desemba 12, 2018
Bonyeza
Mungu ni mwema sana! Hatupaswi kamwe kusema haiwezekani kwa Mungu!! Anaweza kufungua mioyo yetu kwa mambo mapya na watu wapya. Sikiliza Cherri na Joy wanavyotafakari!
Oktoba 17, 2018
Bonyeza
Kuna mengi kuhusu viungo rahisi vinane vya  kichocheo cha maisha tele ya FARM STEW . Sikiliza na usikie siri zinazoifanya kuwa kubwa!
Oktoba 4, 2018
Bonyeza
Ikiongozwa na mwanamke wa Tiskilwa, FARM STEW hufanya kazi ya kuboresha lishe na usafi siku 10000 za kwanza za maisha ya watoto.
Agosti 2, 2018
Bonyeza
Je, tuna ujumbe wa afya unaofaa kwa watu wote?
Aprili 17, 2018
Bonyeza
Mimea yenye vyanzo vya protini ni mpango mkubwa. Joy Kauffman ana mengi ya kusimulia kuhusu  protini ya mimea na umuhimu wake katika uliwengu wetu leo.
Januari 20, 2018
Bonyeza
Joy alitoa ripoti ya utume katika mkutano wa Jumuiya ya kilimo ya  Waadventista mwaka wa 2018. Mada: Kitu Bora Ndani : Glen Rose, Texas,
Septemba 28, 2017
Bonyeza
MOYO: Njaa, Elimu na Ripoti za Mafunzo ya Rasilimali kuhusu FARM STEW.
20 Juni, 2017
Bonyeza
FARM STEW ina fursa ya kwenda kimataifa kwenye 3ABN Leo. Kueneza kichocheo cha FARM STEW cha maisha tele.
Februari 9, 2017
Bonyeza
Joy na Phionah, mkufunzi wa FARM STEW wa Uganda, waliongoza mafundisho juu ya  Mada ya MATUMAINI!!
Septemba 13, 2016
Bonyeza
Watoto  300 walifariki katika kijiji kimoja katika mwezi mmoja mwaka jana - si kwa sababu ya vita,tetemeko la ardhi  (zilizala) au magonjwa bali kutokana na lishe duni.