Wafanyakazi wa FARM STEW

Wafanyakazi wa FARM STEW ni mshikamano wa watu wenye nia ya utume ambao wanataka kushirikisha kichocheo cha maisha tele kwa kuwekeza katika huduma ya Kimataifa ya FARM STEW.  Wao huunda mashirika madogo ili kuwezesha kushiriki kichocheo cha maisha tele!  Shirika rasmi  la kwanza ni la watendakazi wa FARM STEW lililoko Michigan ya Kusini Magharibi.

Wanachama hujifunza kuhusu masuala yanayoathiri familia na watoto katika Afrika, na suluhisho la kuboresha afya yao ya kiroho, kihisia, kifedha, na kimwili na ustawi.  

Kwa Kutumia nguvu ya pamoja ya uhisani, wanachama wanaulizwa kuchangia kila mwaka, kusaidia kuandaa matukio, na kuwaalika wengine kufanya hivyo!  

Jitihada za wafanyakazi wa FARM STEW zitaendesha mafunzo ya ubunifu na huduma ili kuleta mabadiliko  sasa, kwa "hao ndugu zangu walio wadogo" kupitia FARM STEW.

Kama una nia ya kujiunga au kuunda kikundi cha wafanyakazi wa  FARM STEW katika eneo lako, tafadhali piga simu kwa Cherri Olin katika 815-878-4897 au jiandikishe hapo chini.  Zawadi zinaweza kutumwa kwa sanduku la Posta 291, Princeton il 61356 au kupitia mtandao katika www.FARMSTEW.org. Katika mstari wa Memo au maelezo, taja wafanyakazi wako tu.