Kazi yetu katika

Zimbabwe

Kwa nini?

Zimbabwe

"Mbegu za kwanza" za ujumbe wa FARM STEW zilipandwa wakati FARM STEW  ilipotembelea nchi ya Zimbabwe mwaka wa 2016. Baada ya kutambua hitaji kubwa, FARM STEW ilifadhili kilimo hai cha mafunzo ya siku 3, kwa washiriki 54. "Mbegu" hizo ziliangukia kwenye udongo mzuri na kutokana nazo, FARM STEW ilianzisha timu mapema mwaka wa 2018.

Changamoto

Wazimbabwe wana matarajio ya maisha ya miaka  59 tu. Kwa nini?

  • Mmoja katika watoto wanne Wazimbabwe wana ukosefu wa lishe bora 
  • Ni asilimia kumi nas aba(17%) tu wanaokula chakula cha kutosha.
  • Asilimia sabini na sita (76%) ya Wazimbabwe mashambani wanaishi chini ya dola $1.25 kwa siku

Tunachofanya

Kufunza vijiji vyote kuhusu lishe, kilimo na desturi zingine za afya: 

  • Kuhamasisha wakufunzi katika eneo la vijijini na lililotengwa
  • Kutoa mafunzo ya utendaji ya upishi kwa kutumia vyakula vya kienyeji na vya bei nafuu
  • Kununua mbegu za mboga kwa wingi na kuziuza kwa bei ya chini vijijini
Miradi yetu

Katika 

Zimbabwe

Miradi ifuatayo inaeleza jinsi tunavyofunza viungo vyetu vinane kwa wenyeji. Jifunze zaidi kuhusu jinsi unavyoweza kuhusika.

Mradi huu |
Inaendelea
Inaishia
Mashamba madogo ya familia 
Ili kuwezesha familia za mashambani kuwa na kujitegemea na kutoa fursa kwa biashara, tunasambaza mbegu za kuanzia na vifaa vinavyohitajika kuanzisha ukulima wa mashamba madogo. Wanafanya mengine yaliyo salia kwa msaada wa wakufunzi wetu wa FARM STEW!
Mradi huu |
Inaendelea
Inaishia
Mafunzo
Wakufunzi wetu wa FARM STEW wanasisitiza kanuni za kila mojawapo ya viungo vyetu vinane katika madarasa tunayoyafunza. Shughuli za kiutendaji hufanya masomo  kuchangamsha na kuwasaidia washiriki kustawi!

Tunachofanya

Kufundisha Mazoea Bora ya Afya na Maadili ya Kibiblia

Tunatumia viungo vyetu vinane ili kusaidia kuathiri maisha ya familia za mashambani vijijini nchini Uganda, na mafunzo ya kiutendaji katika vijiji vyao

F
Kilimo
Uaminifu kwa kanuni zilizofunuliwa katika neno la Mungu na zinazozingatiwa katika asili
Zaidi →
A
Mtazamo
Uchaguzi wa kuishi njia ya Mungu, kuwa na nidhamu na kuwa na mtazamo chanya
Zaidi →
R
Pumziko
Kila usiku na kila juma kwa miili yetu na pia kuruhusu udongo kupumzika
Zaidi →
M
Chakula
Vyakula vinavyotokana na mimea, vyakula kamili visivyo kobolewa ambavyo familia inaweza kuvikuza wenyewe
Zaidi →
S
Usafi 
Katika miili yetu, kwa kuzingatia wanawake na chakula chetu na karibu na nyumba zetu
Zaidi →
T
Kiasi
Kiasi katika mambo mema, kujiepusha na mambo ambayo ni ya hatari
Zaidi →
E
Ujasiriamali
Kutoa fursa, kushughulikia jinsia, kufuatilia uendelevu
Zaidi →
W
Maji
Safi, kuondoa sumu mwilini na wingi wa nafaka, mikunde na kwa ajili ya miili yetu
Zaidi →
Zimbabwe

Timu

Hawa ndio watu wanaoleta ujumbe wa FARM STEW kwenye eneo hili.

Dkt. Rick Westermeyer
Mkurugenzi wa Kujitolea wa Kaunti ya Zimbabwe, Mjumbe wa Bodi
Kahn Ellmers
Mwangenzi wa FARM STEW
Richard Black
Mweka hazina
Filipo Ndaba
Katibu
Dkt. Rick Westermeyer ni Katibu na mwanzilishi mwenza wa Shirika la Africa Orphan Care -lisilo la kifaida lililowekwa wakfu kuwatunza watoto mayatima wa Africa. Pia ni Mkurugenzi wa kujitolea wa Farmstew katika nchi ya Zimbabwe. Yeye ni daktari anayewapa wagonjwa dawa kabla ya upasuaji (anesthesiologist) anaye fanya kazi Portland, Oregon. Ana Stashahada katika masomo ya dawa za Kitropiki kutoka katika shule ya London ya dawa za Kitropiki. Amejitolea na timu za kukabiliana na majanga kutoka kwa timu za Medical International nchini Afghanistan, Haiti, Rwanda, na Ethiopia. Pamoja na mke wake Ann, muuguzi, wamehudumu katika hospitali na kliniki nchini New Guinea, Tanzania, Zambia, na Zimbabwe. Yeye ni muhadhiri katika somo la dawa za kukabiliana na majanga katika Chuo Kikuu cha Sayansi ya afya cha taasisi ya kimataifa ya afya, Oregon. Rick na Ann wamebarikiwa na binti wawili, Allison na Allana ambao  waliolewa na wote ni wauguzi watendaji. Pia wana wajukuu watatu.
X
Jifunze zaidi kuhusu
Dkt. Rick Westermeyer
+
Dkt. Rick Westermeyer
Mkurugenzi wa Kujitolea wa Kaunti ya Zimbabwe, Mjumbe wa Bodi
Kahn ni mvulana mwenye hekima zaidi ya miaka yake kuhusu kinachoweza kufanya maisha yenye maana. Amejitolea huduma yake kwa mayatima nchini Uganda , kuwaletea na jamii iliyowazunguka,  kichocheo cha maisha tele.
X
Jifunze zaidi kuhusu
Kahn Ellmers
+
Kahn Ellmers
Mwangenzi wa FARM STEW
Mwalimu wa Afya na Ustawi
X
Jifunze zaidi kuhusu
Filipo Ndaba
+
Filipo Ndaba
Katibu
Mchungaji mstaafu
X
Jifunze zaidi kuhusu
Mchungaji Richard Black
+
Mchungaji Richard Black
Mweka hazina
KILIMO
MTAZAMO
PUMZIKO
MILO
USAFI
KIASI
UJASIRIAMALI
MAJI