Upakuaji wa bure
Saidia kupambana na ugonjwa wa COVID na upokee
Mwongozo wako wa ustawi wa FARM STEW.
Pata Kula Upinde wa Mvua wa Mungu na Kichocheo!
STEW YA KILIMO NI NINI?
Dhamira ya FARM STEW ni kuboresha afya na ustawi wa familia maskini na watu walio katika mazingira magumu kwa kushiriki kichocheo cha maisha tele ulimenguni kote .
Zawadi zako zinafikia nchi ambazo watoto mmoja kati ya watatu wana utapiamlo mkali.
Pamoja na wewe, FARM STEW inajenga na kuhamasisha wakufunzi wa Kikristo wa eneo hilo ambao wanashiriki ujuzi wa kivitendo ambao unawapa watu kujisaidia wenyewe.
Sababu? Hivyo "... Ili wawe na uzima tele." Yesu katika Yohana 10:10
Zawadi zako hutumiwa kuelezea kichocheo!
Tunafunza familia kiutendaji, kijamii, desturi ya afya ya umma katika lishe, ukulima endelevu, kiasi, maji na usafi kwa lengo la kuwa na chakula cha kutosha, kuboresha afya na ustawi wa familia.
Ni nini kinachotupatia motisha? Yesu alisema ya kwamba alikuja ili tuwe na uzima na tuwe nao tele. Tunaamini kwamba anatamani chanzo cha maisha kianzie hapa na sasa na alikusudia wafuasi wake waweze kushiriki uzima na watu wote
Lengo letu kuu ni kushiriki katika upendo wa Yesu na watu wote. Tunafanya hivyo kwa kuzingatia "viungo" vyetu vinane vya afya na ustawi. Kila tunachofanya kimethibitishwa na kiko kwenye misingi ya Biblia.
Viungo
Kichocheo cha Maisha Bora
Kwa kuchunguza sababu zinazochangia kuwa na maeneo ya hatari za kiafya ulimwenguni na yale yenye urefu wa maisha, tumeunda FARM STEW, kichocheo cha maisha tele.

Uaminifu kwa kanuni zilizofunuliwa katika neno la Mungu na kuzingatiwa katika asili

Uchaguzi wa kuishi njia ya Mungu, kuwa na nidhamu na kuwa na mtazamo chanya

Kila usiku na kila juma kwa miili yetu na pia kuruhusu udongo kupumzika

Vyakula vinavyotokana na mimea, vyakula kamili visivyo kobolewa ambavyo familia inaweza kuvikuza wenyewe

Maeneo yanayozunguka nyummba zetu,
pamoja na chakula chetu na usafi wa kibinafsi

Kiasi katika mambo mema, kujiepusha na mambo ambayo ni ya hatari

Kutoa fursa ya kuwezesha kupata chakula endelevu na mapato

Safi, kuondoa sumu mwilini na wingi wa nafaka, mikunde na kwa ajili ya miili yetu
Mpango wetu wa majaribio
Ilianzishwa mwaka wa 2015
FARM STEW Uganda
Uganda ina miliki mchanganyiko wa kipekee wa maliasili ambazo hutoa uwezo mkubwa. Maji safi ni tele, takriban asilimia thelathini na nne (34%) ya ardhi ni yenye rutuba, na hali yake ya hewa inaruhusu misimu miwili au hata mitatu ya mavuno kwa mwaka. Ijapokuwa
-Alisimia sitini na moja (61%) ya Waganda huishi chini ya dola ($ 2%) kwa siku
-Asilimia thelathini na tano (35%) ya watoto wa Kiganda wana lishe duni, na
-Watoto wanaoishi mashambani wana kiwango cha juu cha kifo kinachozidi asilimia arubaini na tano (45%)
FARM STEW inaona uwezo katika nchi ya Uganda. Mafunzo yetu huwaandaa watu wasio na uwezo kwa kuwapa ujuzi muhimu ili kuboresha maisha yao na nchi yao kwa ujumla.
Kufikia sasa, timu yetu yenye washikiri 7 Waganda imewapa mafunzo zaidi ya watu18,000. Tunawafikia familia moja, kijiji kimoja kwa wakati.
Habari na Visa
"Nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele." Yohana 10:10
Shiriki
Washirika wetu
Asante kwa hamu yako ya kusaidia FARM STEW












Tunaweka mafanikio ya juhudi zetu katika mikono ya Mungu. Ombi letu ni kwamba utuombee ili Mungu aendelee kuogoza FARM STEW. Chukua muda utujulishe kuwa unatuombea kutusaidia kuzijenga na kuzihimiza timu zetu.
Zawadi zenu huhamasisha wakufunzi wa FARM STEW kuleta kichocheo cha maisha tele kwa wale wanaohitaji zaidi. Kwa msaada wako, wanaweza kubadilisha maisha. Bonyeza ili kusaidia.